BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Gachagua kupinga uamuzi wa Mahakama katika Mahakama ya Rufaa
Haya yanajiri baada ya majaji watatu wa Mahakama Kuu kutoa uamuzi jana Jumatatu kwamba mchakato wa kumuondoa madarakani kwenye Bunge na Seneti ulikuwa halali na kwamba uamuzi huo unasalia kuwa halali kwa mujibu wa Katiba.
Wakazi wakimbia mji wa Lebanon huku Israeli ikionya kufanya mashambulizi
Jeshi la Israel latoa agizo la kuhamishwa kwa mji wa kusini wa Tiro - ikiwa ni pamoja na sehemu ya Wakristo - likisema litachukua hatua "kwa nguvu".
Kombe la Dunia 2026: Mwaka huu ni mashindano kwa ajili ya matajiri pekee?
Kilio cha mashabiki wa soka kimeshika kasi ulimwenguni kutokana na kupanda kwa bei za tiketi za Kombe la Dunia 2026. Mfumo mpya ulioanzishwa na FIFA umezua mtafaruku mkubwa.
Kwa nini Iran iliamua kuishambulia Israel?
Kwa mujibu wa taarifa za maafisa wa kijeshi nchini Iran, shambulio hilo lilikuwa la " kulipiza kisasi mashambulizi ya Israel dhidi ya vitongoji vya Beirut."
Ufumbuzi mpya wa kukabiliana na upara unamaanisha nini kwa wanawake?
Wanasayansi nchini Japan wanaamini kuwa wanakaribia kubadilisha hali ya upotezaji wa nywele kwa mamilioni ya watu.
Je, huu ndio mwisho wa Rigathi Gachagua katika siasa za Kenya?
Majaji watatu wa mahakama kuu nchini Kenya Anthony Mrima, Eric Ogola na Freda Mugambi walichukuwa zaidi ya saa kumi Jumatatu ya Juni 8 kutoa uamuazi wao kuhusu hatima ya kisiasa ya aliyekuwa Naibu wa Rais wa nchi hiyo Rigathi Gachagua
Gachagua apata pigo huku Mahakama Kuu ikitupilia mbali ombi la kupinga kuondolewa madarakani
Akitoa uamuzi huo kwa niaba ya jopo la majaji watatu, Jaji Eric Ogola alishikilia kuwa ushiriki wa kisiasa na maoni ya wabunge peke yake, hakuwezi kuthibitisha kuwa ni upendeleo wa kikatiba.
Mythos ni nini na kwa nini inaonekana kuwa tishio kubwa kuliko Mlango bahari wa Hormuz?
"Tunajua Mlango Bahari wa Hormuz ulipo na ukubwa wa tishio lake, lakini bado hatuelewi kikamilifu hatari tunayokabiliwa nayo kutoka Mythos'', anasema Waziri wa fedha wa Canada.
Kombe la Dunia 2026: Ratiba, msimamo na matokeo
Kombe la Dunia 2026: Nchi tatu, viwanja 16
Ni nini hasa kinachoiunganisha China na Urusi?
Wachambuzi wa Magharibi kwa muda mrefu wameuelezea ushirikiano kati ya China na Urusi kwa namna mbili tofauti: kama "mhimili wa tawala za kiimla" unaounganishwa na lengo la pamoja la kuipinga Magharibi, au kama uhusiano dhaifu unaokaribia kuvunjika wakati wowote.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Ziara ya Rais Samia Urusi: Tulichojifunza na maswali mapya
Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiitembelea Urusi wiki hii, vichwa vya habari katika vyombo vya habari vya kimataifa, vinasomeka, “Rais wa Tanzania aitembelea Urusi, huku uhusiano na Magharibi ukizorota.”
Je, wanawake huwa na huruma kuliko wanaume?
Mazingira ambayo mtu anakulia na kuishi huchangia viwango vya huruma mtu huyo atakuwa nayo.
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Moto wafufua mjadala wa CCTV mashuleni, usalama kwanza au faragha?
"CCTV ni shahidi wa kimya, haiwezi kuzuia tukio kutokea, lakini inaweza kusaidia kubaini ukweli baada ya tukio kutokea'', anasema mtaalamu wa faragha ya data Philip Kisaka.
Kwanini Kim Jong-un huwa hamzungumzii mama yake?
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
Afrika kuanza kutumia Su-34M, ndege mpya za kivita za Urusi
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Kuanzia Makonda hadi Mafwele, hawa ni 'vigogo' 5 Afrika Mashariki waliopigwa marufuku kuingia Marekani
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na kiusalama, kutoka Tanzania, Kenya, hadi Rwanda na Uganda yakiguswa.
Hifadhi za urani iliyorutubishwa za Iran ziko wapi?
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) lilisema wakati huo kwamba Iran ndiyo nchi pekee isiyo na silaha za nyuklia duniani iliyofikia kiwango hicho cha juu cha urutubishaji.
Kutoka kivuli hadi alama ya nguvu duniani, Putin alijengaje taswira yake?
Kwa miaka mingi, Vladimir Putin ameibadilisha Urusi kutoka taifa lenye demokrasia changa na dhaifu kuwa dola yenye mfumo wa kiutawala wa kimabavu ambao kwa kiasi kikubwa umejengwa kumzunguka yeye kama rais.
Kauli tata za wanasiasa wanaohama vyama Tanzania
Ingawa kisheria kuhama chama ni haki ya kikatiba ya kila mwanasiasa, mjadala mkubwa hubaki kwenye maneno waliokuwa wakiyasema wakati wakiwa kwenye vyama wanavyovihama, maneno ambayo mara nyingi huonekana kugongana na hatua zao za baadaye.
"Una wazimu" Simu ya mzozo kati ya Trump na Netanyahu yavuruga mazungumzo na Iran
Netanyahu amewahi kubishana na rais wa zamani Bill Clinton kuhusu kutekelezwa kwa makubaliano ya amani ya mwaka wa 1993 ya Oslo peace Accords.
'Lazima uwe mwongo, na mjinga,' Trump alisema, akiinuka na kuondoka
Rais wa Marekani Donald Trump alikatiza mahojiano na Idhaa ya NBC baada ya mtangazaji Kristen Welker kumuuliza maswali mara kwa mara kuhusu baadhi ya maoni yake.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 10 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 9 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 9 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 9 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani






















































